Bwana harusi, wazazi wa binti wahukumiwa kuandaa harusi ‘haramu’
Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya imewahukumu wazazi pamoja na aliyekuwa msaidizi wa bwana harusi kifungo cha mwaka mmoja au kulipa faini ya Sh1,000,000 kwa kosa la kutaka...