Vurugu zalipuka Marekani, wanajeshi wamwagwa mitaani Kufuatia hatua hiyo, Rais Trump aliamuru wanajeshi zaidi ya 2,000 kumwagwa maeneo yanapofanyika maandamano hayo, ili kukabiliana na waandamanaji na kuimarisha ulinzi dhidi ya majengo na ofisi za...
Mgombea urais apigwa risasi, mtoto atiwa mbaroni Turbay alikuwa akitarajia kushiriki kwenye uchaguzi wa urais utakaofanyika Mei 31, 2026. Mama yake aliyekuwa mwanahabari, alitekwa nyara na kuuawa mwaka 1991 wakati wa moja ya vipindi vya...
Trump amkalia kooni Elon Musk, Vance amtoa kundini Musk alitoa msaada mkubwa wa kifedha kwenye kampeni ya urais ya Trump mwaka 2024, akitumia zaidi ya dola milioni 250 (zaidi ya Sh665 bilioni) kumsaidia katika majimbo yaliyokuwa na ushindani.
Kesi za Lissu kusikilizwa hivi Kupitia taarifa yake kwa Umma iliyotolewa leo Jumapili Juni Mosi, 2025, na Mkuu wa Kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano Mahakama ya Tanzania, Gerard Chami amesema pamoja na kwamba mshtakiwa...
Rais Ruto awaomba msamaha Watanzania Rais Ruto ameyaomba radhi mataifa hayo leo Jumatano Mei 28, 2025, wakati wa Ibada Maalumu ya kuliombea taifa hilo iliyofanyika eneo la Safari Park nchini humo.
Trump aibua mapya kuhusu Putin, ‘anacheza na moto’ Matamshi hayo ya Trump yamekuja baada ya kumkosa kiongozi hiyo wa Russia baada ya Putin kuamuru utekelezwaji wa mashambulizi mapya ya anga nchini Ukraine.
Muasisi wa Chaumma ajiondoa, ataja sababu Mmoja wa waasisi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Eugene Kabendera ametaja kujiondoa rasmi ndani ya chama hicho.
Matukio ya ubakaji, ulawiti yapungua nchini Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk Dorothy Gwajima amesema wizara yake imeshughulikia migogoro ya ndoa 97,234 katika kipindi cha Julai hadi kufikia Aprili 2025...
Trump amtupia dongo Putin, adai kukasirishwa kisa... Trump amekuwa akiwatumia wateule wake Keith Kellogg na Marco Rubio kusaka mwarobaini wa mzozo wa Russia na Ukraine tangu aapishwe kuingia madarakani Januari 20, mwaka huu.
Mgaywa atamba kuipeleka ADC Ikulu Uchaguzi Mkuu 2025 Uamuzi wa kumtangaza Mgaywa kugombea nafasi hiyo umetangazwa leo Mei 23, 2025, na Katibu Mkuu wa ADC taifa, Hamad Aziz jijini Dar es Salaam.