PRIME 'Kama la ugaidi liliwezekana, kwa nini la uhaini lisiwezekane' Nianze kwa kueleza kuhusu makosa mawili makubwa kabisa katika Katiba yetu, kosa la kuua na kosa la uhaini, ambayo yote hupewa adhabu ya kifo, yaani capital punishment.
‘Wazanzibari endeleeni kudumisha mshikamano’ Wakati viongozi na watendaji wakitakiwa kumuenzi hayati Abeid Aman Karume kwa kuendeleza maono yake kwa kutenda haki bila ubaguzi, wananchi wametakiwa kudumisha amani, upendo na mshikamano ili...
Afrika Kusini yatoa mshindi wa Sh30 milioni mashindano ya Quran Wakati yakifanyika mashindano ya kuhifadhi Quran kwa Afrika, Mohamed Amejair (23) kutoka Afrika Kusini ameibuka kidedea na kujinyakulia kitita cha Sh30 milioni, huku Rais Hussein Mwinyi...
Changamoto sita za kimazingira Zanzibar, wadau wapendekeza hatua za kuchukua Zanzibar inakabiliwa na changamoto za kimazingira, ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa kina cha bahari, uvamizi wa maji ya chumvi, mmomonyoko wa fukwe, na hali mbaya ya hewa.
Makamu wa Rais asisitiza elimu biashara ya kaboni Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amehimiza kutolewa kwa elimu ya biashara ya hewa ukaa (kaboni) ili wadau muhimu kwenye biashara hiyo wawe na uelewa utakaochochea ukuaji wa uchumi.
Shamba la mikarafuu lateketea kwa moto Pemba Kwa mujibu wa taarifa mkarafuu mmoja unatoa wastani wa kilo 15 za karafuu. Kwa mikarafuu 50 ni takriban kilo 750 za karafuu zenye thamani ya Sh11.2 milioni.
SMZ kutoa kipaumbele ajira kwa wenye ulemavu Katika kulijali kundi hilo, Serikali imejenga shule mbili za bweni kwa ajili ya watu wenye ulemavu katika kuwaendeleza kielimu.
Rekodi zinazotikisa Ligi Kuu Ni weka niweke katika Ligi Kuu Bara baada ya kubakisha michezo 10 hadi tisa kwa baadhi ya timu kumalizika kwa msimu huu, huku ushindani ukitikisa kwa vigogo wanaowania ubingwa, nafasi nne za juu...
PRIME Simba imejipanga eneo hili, ukijichanganya inakula kwako! Kuweni makini! Ndivyo unavyoweza kusema kwa timu pinzani pale zinaposhuka uwanjani kucheza na Simba, kwani zikijichanganya kidogo tu zijue mapema inakula kwao mapema.
PRIME CCM inavyopenya Pemba, ngome ya upinzani Zanzibar Kwa muda mrefu Kisiwa cha Pemba kimekuwa ngome ya upinzani, tangu uchaguzi wa kwanza baada ya mfumo wa vyama vingi kurejeshwa mwaka 1995, kisiwa hicho kilikuwa ngome ya Chama cha Wananchi (CUF).