Search

6034 results for Mwandishi Wetu :

  1. LIVE: Tazama kimbunga Hidaya kinavyoikaribia Tanzania

    Kupitia tovuti ya Zoom Earth, Mwananchi Digital imewekea ‘link’ ya kutazama mubashara kimbunga hicho.

  2. Gamondi hajapoa, amuulizia Fabrice Ngoma

    Simba msimu huu imekuwa na kiwango ambacho hakiwafurahishi mashabiki wake lakini kuna wachezaji ambao wamekuwa vipenzi vya mashabiki na wanaamini kama wataendelea kuwepo, miamba hiyo ya Ligi Kuu...

  3. Uhuru wa habari ni wajibu wa kila mdau

    Leo ni Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, ambayo huadhimishwa Mei 3, kila mwaka. Katika siku hii, wadau wanapata nafasi ya kutafakari umuhimu wa tasnia ya habari katika kuchochea uhuru...

  4. TMA: Kimbunga Hidaya kinaendelea kusogea, kuimarika

    Kinatazamiwa kusababisha vipindi vya mvua kubwa na upepo mkali katika baadhi ya maeneo ya mikoa ya Mtwara, Lindi, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Dar es Salaam, Tanga, Morogoro, visiwa vya...

  5. Licha ya ongezeko la fedha, mambo bado Wizara ya Kilimo

    Wizara ya Kilimo imeliomba Bunge kuidhinisha Sh1.248 trilioni zitakazotumika kwenye vipaumbele sita vyenye mikakati 27 katika mwaka wa fedha wa 2024/2025

  6. Rais Ruto amteua Kahariri kuwa CDF Kenya

    Mabadiliko hayo na uteuzi huo wa CDF umeidhinishwa kwenye mkutano wa Baraza la Idara ya Ulinzi chini ya uenyekiti wa Waziri wa Ulinzi Aden Duale.

  7. Kanuni kurekebishwa kuwezesha NFRA kununua, kuhifadhi sukari

    Ili kukabiliana na changamoto ya upatikanaji wa sukari, Wizara ya Kilimo ilitangaza bei elekezi ya sukari nchi nzima kupitia Gazeti la Serikali Na. 3. Toleo la 105 la Januari 23, 2024

  8. Wahamasishwa kukopa bodaboda na bajaji kujikwamua kiuchumi

    Hivi sasa hata maeneo ya pembezoni wananchi wana mwamko wa kutumia usafiri ama wa pikipiki au bajaji tofauti na zamani vijijini walikuwa wanatembea umbali mrefu kwa miguu. Hivyo kijana akimiliki...

  9. PRIME Sababu kwa nini Mgunda anatosha Simba

    Mashabiki wa Simba wamepata mzuka upya wakiwa na matumaini makubwa kwa kocha wa timu hiyo Juma Mgunda ambaye anasaidiana na Selemani Matola. Mgunda ambaye alikuwa timu ya Wanawake Simba Queens...

  10. Mgunda aanza na sare Simba

    KAIMU Kocha Mkuu wa Simba SC, Juma Mgunda, ameanza majukumu yake ndani ya kikosi hicho kwa kuambulia sare katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo FC. Mchezo huo uliochezwa leo kwenye...

Previous

Page 3 of 604

Next