Heche: Chadema ikishika dola itawalipa pensheni wazee wote Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), John Heche amesema chama hicho ikishika dola italipa pensheni kwa wazee wote nchini wenye umri wa kustaafu.
Heche apeleka 'No reforms, No election' Chato Chato. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) (Bara), John Heche amefika Wilaya ya Chato kupeleka kampeni ya chama hicho ya No reforms, No election. Heche anayeongoza...
PRIME Wenje 'awatosa’ Heche, Mnyika no reforms, no election Kagera Hata ujumbe mfupi wa maneno aliotumiwa pia haukujibiwa kwa njia ya simu pia haukujibiwa.
PRIME Mapya mvutano wa viongozi, wanachama Chadema Kundi la makada 55 (G55) lilijitokeza kueleza kutokubaliana na msimamo wa Chadema wa kutaka kuzuia uchaguzi kupitia kaulimbiu ya “No reforms, no election” wakitaka chama hicho kishiriki uchaguzi,...
PRIME Heche awashukia G55, adai wamefika bei, Mrema ajibu mapigo Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amewashukia waliokuwa makada wa chama hicho waliotangaza kujivua uanachama akidai wamefika bei.
PRIME Tusitumie dola kuzima sauti zenye hoja kinzani kwa jamii Ili kutekeleza Ibara hiyo, sheria namba 5 ya vyama vya siasa ya mwaka 1992 ilitungwa kulinda haki za kisiasa na kutoa haki sawa ya kufanya shughuli za kisiasa kwa vyama vyote.
PRIME Chondechonde tusilirejeshe Taifa kwenye enzi ya giza Hatua hizo za Rais Samia ambaye ni mwanamke wa kwanza kushika nafasi hiyo zililenga kuliondoa Taifa kutoka kwenye fukuto siyo tu la kisiasa, bali pia hofu iliyotanda karibia katika maeneo yote...
UCHAMBUZI WA SARAMBA: Watanzania tupige kelele kukemea 'ukaburu' kelele kuonya dhidi ya ukaburu unaotunyemelea. Tusipopiga kelele mawe yatainuka kupiga kelele. Peter Saramba ni mwandishi wa kujitegemea, anapatikana kwa simu namba 0766434354.
UCHAMBUZI WA SARAMBA: Kabla ya amani, tuombee haki, utu, usawa na upendo “Ombeni, nanyi mtapewa, tafuteni, nanyi mtaona, bisheni, nanyi mtafunguliwa; kwa maana kila aombaye hupokea, naye atafutaye huona, naye abishaye atafunguliwa,”
Wadau watofautiana wahitimu elimu ya juu, kwenda Veta Mjadala wa wahitimu wa vyuo vikuu kwenda kupata ujuzi vyuo vya ufundi stadi (Veta) bado haujapoa. Wadau mbalimbali wameuendelea wakichambua kwa mitazamo tofauti.