Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

233 results for Sanjito Msafiri :

  1. Moto wateketeza wawili ndani ya nyumba

    Watu wawili wamefariki dunia huku wengine watatu wakinusurika baada ya moto kuteketeza nyumba walimokuwa wamelala.

  2. Wenye ulemavu walalamika kubaguliwa huduma za jamii

    Watu wenye ulemavu nchini wamesema ukosefu wa wataalamu wa lugha ya alama kwenye maeneo ya huduma za jamii huwafanya wapate huduma tofauti na walizokusudia.

  3. CAG Kichere ayang’ata sikio mashirika ya umma

    Mkaguzi Mkuu wa hesabu za serikali (CAG), Charles Kichere amesema mkakati wa serikali kwa sasa ni kuona mashirika ya umma nchini yanajiimarisha kiuchumi ili yajiendeshe bila kutegemea ruzuku ya...

  4. Mbaroni akidaiwa kuua mke, mtoto wake wa miaka miwili

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Tanganyika Masele, mkulima ambaye ni mkazi wa Kiisangile, Kata ya Marui, Wilaya ya Kisarawe mkoani humo kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya mkewe na...

  5. Jeshi la Polisi lawashikilia vijana zaidi ya 100 kwa biashara ya upatu

    Zaidi ya Vijanana na kuhojiwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani kwa tuhuma za kujihusisha na biashara ya upatu nchini.

  6. Uandikishaji, uboreshaji daftari la kudumu unavyozidi kuchanja mbuga

    Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura unaendelea kulingana na ratiba iliyotolewa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC). Tayari baadhi ya mikoa...

  7. Halmashauri ya Kibaha yapandishwa hadi kuwa Manispaa

    Rais Samia Suluhu Hassan ameupandisha Mji wa Kibaha, Mkoa wa Pwani, kutoka Halmashauri na kuwa Manispaa lengo likiwa ni kukuza hadhi ya maeneo ya kiutawala na kuboresha huduma kwa wananchi.

  8. Ajali yaua wanne, 20 majeruhi wakisafirisha msiba Dar- Bukoba

    Watu wanne wamefariki dunia na 20 wakijeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea jioni ya jana Jumamosi, Januari 25, 2025 eneo la Msolwa, Chalinze Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani. Ajali hiyo...

  9. Watatu wakamatwa porini na mtoto aliyeibwa Kibaha

    Amesema baada ya kumpata mtoto huyo, wamempeleka hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Pwani (Tumbi) kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wa kiafya.

  10. Familia ya mtoto aliyeibwa Kibaha yazidi kumlilia Rais Samia

    Siku 10 baada ya mtoto wa miezi saba kuibwa na watu wasiojulikana, familia ya mtoto huyo bado ina matumaini kuwa atapatikana salama.

Previous

Page 3 of 24

Next