Mbunge ataka urudishwe utaratibu kuingia Zanzibar kwa pasipoti
“Sasa hivi ukienda pale Zanzibar utakuta viwanja vimechukuliwa, miti imekatwa, kulikuwa na zao la mikarafuu haliko tena, imebakia Pemba nako linaenda kuisha, minazi hakuna sasa hivi tunaagiza...