Maeneo ya kipaumbele ya programu ya kizazi chenye usawa yatajwa
Wakati Programu ya Kizazi chenye Usawa (GEF), ikiendelea kutekelezwa nchini, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Malumu imetaja maeneo manne yaliyopewa kipaumbele ikiwamo...