Simulizi ya Mwalimu John aliyekosa usingizi miezi nane kwa maumivu ya kifua
Mwalimu Deus John (30), anayefundisha Shule ya Sekondari Uru, iliyopo Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, amesimulia masaibu aliyopitia ya kukosa usingizi kwa miezi nane kabla ya kuondolewa...