Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1434 results for Janeth Joseph :

  1. Sh28.2 bilioni kujenga barabara mpaka wa Holili – Tarakea

    Moshi. Serikali imetoa zaidi ya Sh28.2 bilioni kwa ajili ya kuanza utekelezaji wa ujenzi wa barabara ya Lower yenye urefu wa kilomita 10 wilayani Rombo ambayo itasaidia kufungua fursa za...

  2. Mwalimu ajiua kwa kujichoma moto Rombo, chanzo chatajwa

    Mwalimu wa Shule ya Msingi Sinya, iliyopo Wilaya ya Longido mkoani Arusha, Samwel Mlay (39), anadaiwa kujiua kwa kujiteketeza kwa moto katika nyumba yake aliyokuwa akiishi na familia yake.

  3. Kanisa latoa pole masista waliofariki ajalini Moshi

    Wakati Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro likiendelea kumshikilia Saimon Paul, dereva aliyesababisha ajali iliyoua masista (watawa) wawili wa Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi, kanisa hilo kupitia...

  4. Mmoja afariki, 11 wajeruhiwa wakitoka kwenye sherehe Kilimanjaro

    Kamanda Maigwa amesema chanzo cha ajali hiyo ni uzembe wa dereva ambaye alikuwa akiendesha gari hilo akiwa amelewa, ambapo kwa sasa anashikiliwa na Jeshi la Polisi.

  5. Askofu Amani: Tusiwachague viongozi wenye ulafi wa madaraka

    Maadhimisho hayo yamefanyika katika seminari hiyo na kuhudhuriwa na maaskofu, mapadri, waseminari wa zamani na wa sasa pamoja na waumini wa kanisa hilo.

  6. Watoto wenye umri wa miaka 13 waweka rekodi kufika kilele cha Mlima Kilimanjaro

    Ibrahimu Elias (13) na Specioza Erasto (13) ambao wanalelewa katika kituo cha watoto yatima cha Moyo wa Huruma mkoani Geita wameweka historia ya kufika katika kilele cha Uhuru cha Mlima...

  7. Sababu wanawake kuumwa zaidi magonjwa ya uti wa mgongo

    Kambi hiyo imelenga kuona wagonjwa zaidi ya 500 wenye matatizo mbalimbali ikiwemo, uti wa mgongo, magonjwa ya mgongo, ubongo na mishipa ya fahamu.

  8. Jaji agoma kujitoa kusikiliza rufaa ya mirathi

    Wakili huyo alitaja sababu kuwa ni Jaji aliyekuwa akisikiliza rufaa hiyo kushauri pande zote mbili kujaribu kusuluhisha suala hilo nje ya mahakama jambo lililomfanya mrufani kutokuwa na imani naye.

  9. Kipato kidogo chatajwa kuongeza hatari maambukizi ya VVU kwa Vijana

    Wakati Taifa likiendelea na jitihada za kupunguza maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU), imeelezwa kuwa, uwezo wa kifedha wa watu wazima unaweza kuwa miongoni mwa sababu zinazowaweka vijana...

  10. Chaumma yatoa fomu kwa wagombea ubunge Kilimanjaro

    Zoezi hilo pia limetanguliwa na ufunguzi wa ofisi mpya katika eneo la Majengo, lililopo Manispaa ya Moshi, Mkoani hapa.

Previous

Page 26 of 144

Next