Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1050 results for Aurea Simtowe :

  1. Samia apokea Sh1.028 trilioni za gawio, atoa mbinu kwa mashirika

    Gawio hilo ni kutoka taasisi ambazo Serikali ina hisa chache na mashirika yanayochangia asilimia 15 ya mapato yake ghafi.

  2. Gawio la Sh38.8 bilioni kutoka Nida lazua minong’ono

    Nida imeungana na mashirika mengine yaliyo chini ya Msajili wa Hazina kutoa gawio lake lakini yenyewe ikitoa asilimia 15 ya mapato ghafi kwa sababu haijiendeshi kibiashara.

  3. Tanzania kusaka miradi 1,500 ya uwekezaji mwaka 2025

    Teri amesema ili kufikia lengo lililowekwa, wameweka kipaumbele katika kuhudumia wawekezaji waliopo kwa ukaribu na kutatua changamoto zao.

  4. Wafanyabiashara walia kufungwa mtandao wa X

    Licha ya kutokuwa tayari kutaja majina yao lakini walilaani kitendo hicho huku wakieleza kuwa kinawarudisha nyuma kiuchumi kwani mtandao huo ulikuwa sehemu ya mapato wanayoyategemea kila mwezi.

  5. Bodaboda zilivyosaidia kupunguza wezi, vibaka mtaani

    Wakati asilimia 68 na asilimia 78 ya wanaume na wanawake wakishuhudia ongezeko la vipato kupitia kazi ya bodaboda, Katibu Tawala mkoa wa Dar es Salaam, Dk Toba Nguvila amesema sekta hiyo...

  6. Bidhaa za plastiki bado mfupa mgumu

    Wadau wapinga mamlaka, kufungiwa mtandao wa X S: Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa amesema iwapo mwananchi anashindwa kupata mtandao fulani ajue kuwa Serikali...

  7. Mageuzi yalivyotengeneza faida kwa kampuni zenye hali mbaya

    Hadi sasa Ofisi ya Msajili wa Hazina imeshakusanya zaidi ya Sh900 bilioni huku ikitarajiwa kufikisha Sh1 trilioni kabla ya Juni 10 mwaka huu ambalo ndilo gawio litakalowasilishwa kwa Rais Samia...

  8. Sekta binafsi kukakibidhiwa Mwendokasi ya Kimara na Mbagala

    Wakati kilio cha wakazi wa Dar es Salaam juu ya magari yaendayo haraka kikizidi kushikika kila siku, Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu amesema sekta binafsi itakabidhiwa uendeshaji wa awamu ya...

  9. Utouh: Fedha za umma hazina itikadi za kisiasa

    Utouh ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Wajibu Institute, amesema mradi huo unakuja ili kuchochea uwajibikaji bora katika usimamizi wa fedha za umma kwenye utekelezaji wa shughuli mbalimbali.

  10. Tanzania yaongeza kasi utafiti wa mafuta maeneo mawili

    Wahandisi hao waliotoka maeneo mbalimbali duniani, wanatarajia kufanya mkutano wa siku mbili unaolenga kuangalia suala la teknolojia katika nchi za Afrika. Mkutano huo unafanyika Tanzania kwa...

Previous

Page 4 of 105

Next