Search

69 results for Filbert Rweyemamu :

  1. Serikali yaandaa ndege mbili za kuangamiza nzige

    Arusha.Serikali imesema katika kukabiliana na makundi ya nzige waliovamia maeneo mbalimbali ya wilayani Longido wakitokea nchi jirani ya Kenya itatumia ndege maalumu za kupulizia dawa ili...

  2. Balozi wa Marekani awasilisha hati za utambulisho EAC

    Balozi wa Marekani nchini Tanzania ambaye pia anaiwakilisha nchi yake katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Donald Wright amewasilisha hati za utambulisho katika jumuiya hiyo.

  3. ‘Wekeni alama bidhaa itambulike inatoka Tanzania’

    Waziri mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka wajasiriamali nchini kuweka alama na jina linaloonesha bidhaa hizo zinazalishwa Tanzania.

  4. Kutana na Baraka machinga asiyeona

    Baraka Emmanuel (28) ni kijana mjasiriamali mwenye ulemavu wa macho (asiyeona). Changamoto hii haijamkosesha fursa ya kujitafutia kipato, amekuwa anajishughulisha kufikia malengo aliyojiwekea.

  5. Biteko awataja wanaoruhusiwa kuuza madini ndani ya ukuta wa Mirerani bila leseni

    Wafanyakazi kwenye migodi ya wachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite iliyopo Mirerani wamepata ahueni baada ya Serikali kuwatambua kuwa wanaweza kuuza madini ndani ya eneo hilo lililozungushiwa...

  6. Askofu ataka kuwepo na maridhiano nchini

    Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Central Tanganyika, Dk Dickson Chilongani alitumia mahubiri yake ya sikukuu ya Krismasi jana kwa kutoa ujumbe wa kuhimiza maridhiano katika kutatua...

    New Content Item (1)
  7. Krismasi isiwe ya starehe, kujikweza, viongozi waonya

    Wakati Watanzania wanasherehekea sikukuu ya Krismasi leo wameshauriwa kuwa uwe muda wa kutafakari ukuu wa Mungu kwa kipindi cha mwaka 2020 na wajiepushe kufanya tu starehe, anasa na masuala ya...

  8. Gambo ahoji maduka kufungwa Arusha kwa kudaiwa kodi

    Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo amekagua maduka ya wafanyabiashara katika soko la Kilombero na kituo cha mabasi madogo yaliyofungwa baada ya wapangaji kushindwa kulipa kodi kwa...

  9. Lukuvi ataja wanaotambulika umilikishaji wa ardhi mijini

    Waziri wa Ardhi nchini Tanzania, William Lukuvi amesema viongozi wa mitaa wakiwemo mabalozi wa mashina wa CCM na wenyeviti wa serikali za mitaa maeneo ya halmashauri za miji na majiji hawausiki...

  10. Biteko: Mchimbaji akikutwa anatorosha madini, mmiliki wa mgodi unafutiwa leseni

    Waziri wa Madini nchini Tanzania, Dotto Biteko amesema utoroshaji wa madini ya Tanzanite nje ya ukuta uliojengwa katika mgodi wa Mirerani hautavumilika na mchimbaji atakayekutwa ameficha madini...

Previous

Page 4 of 7

Next