Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

847 results for Mgongo Kaitira :

  1. Malema ajibu mapigo ‘wazee wamekutana Washington kunijadili’

    Baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump kumbana Rais Cyril Ramaphosa kuhusiana na tuhuma za kuwepo vitendo vya unyanyasaji na mauaji ya wakulima weupe (Afrikaners) nchini Afrika Kusini, kiongozi...

  2. Kauli za Malema zamponza Ramaphosa, Trump aibua ushahidi mauaji

    Kutokana na kuwepo malalamiko ya makaburu wanaoishi nchini Afrika Kusini kudai kuwa wananyanyaswa na kufanyiwa ubaguzi, Rais Trump alitangaza kuwapatia hadhi ya uhamiaji kwa watakaoridhia kuhamia...

  3. Kenya yaunga mkono msimamo wa Tanzania kuwazuia kina Martha Karua

    Waziri Kiongozi wa Baraza la Mawaziri la Kenya, Musalia Mudavadi ameiunga mkono kauli ya Rais Samia Suluhu kuhusiana na wanaharakati wa mataifa ya nje kuingilia mambo ya Tanzania.

  4. PRIME Gachagua atoa kauli Paroko wa Kanisa Katoliki aliyetekwa, kuuawa

    Saa chache tangu Jeshi la Polisi nchini Kenya, litangaze kuanzisha uchunguzi juu ya kutekwa na baadaye kuuawa kwa Paroko wa Parokia ya Igwamiti ya Kanisa Katoliki huko Nyahururi nchini humo...

  5. Mashambulizi Israel yaua 85 Gaza, Ulaya yailima vikwazo

    Mashambulizi yaliyofanywa na vikosi vya Jeshi la Israel (IDF) yamesababisha vifo vya watu zaidi ya 85 eneo la ukanda wa Gaza katika kipindi cha saa 24 zilizopita.

  6. Rais Biden atoa kauli kugundulika na saratani ya tezi dume

    Rais wa zamani wa Marekani, Joe Biden (82), amezungumzia hali yake kwa mara ya kwanza siku mbili tangu agundulike kuwa na ugonjwa wa saratani ya tezi ambayo imesambaa hadi kwenye mifupa yake.

  7. Wenye Uviko-19 waongezeka, Dar yatajwa

    Takwimu zilizotolewa na Wizara ya Afya zinaonyesha kuwepo ongezeko la watu wenye maambukizi ya ugonjwa wa Uviko-19 nchini katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita.

  8. Rais Samia afanya uteuzi, amgusa Profesa Nagu, Mbungo

    Kwa mujibu wa taarifa hiyo ya Ikulu, uapisho wa Naibu Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mtendaji utafanyika kwa tarehe itakayopangwa baadaye

  9. Gachagua awindwa na polisi, sababu yatajwa

    Mofisa wa Jeshi la Polisi nchini Kenya wamezingira makazi ya aliyekuwa Naibu Rais, Rigathi Gachagua kwa lengo la kumkamata kwa kile kinachotajwa kuwa ni tuhuma za kuchochea vurugu nchini humo.

  10. Rais Biden akutwa na saratani ya tezi dume, Trump atuma ujumbe

    Rais wa zamani wa Marekani, Joe Biden (82), amegundulika kuwa na ugonjwa wa saratani ya tezi dume, ambayo imesambaa hadi kwenye mifupa yake.

Previous

Page 4 of 85

Next