Search

6094 results for Mwandishi Wetu :

  1. ACT-Wazalendo, CUF vyasusia uchaguzi Kwahani

    Chama cha ACT-Wazalendo kimetangaza kususia uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Kwahani mjini Unguja utakaofanyika Juni 8, 2024.

  2. JKT yaongeza mahanga kwa vijana

    Jumla ya vijana 14,100 watapatiwa nafasi katika mahanga 141 yaliyojengwa na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Samia Suluhu Hassan la kurekebisha mahanga ili...

  3. Dk Chana ajinasibu Rita kujitanua kidijitali

    Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Pindi Chana amewataka wananchi kote nchini kutumia mfumo wa kidijitali wa eRITA, kwa ajili ya kutuma maombi ya huduma za Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini...

    New Content Item (1)
  4. Mjadala kifo cha Mohbad wafungwa

    Baada ya kusubiri majibu ya vipimo ya mwili wa mwanamuziki kutoka Nigeria Mohbad kwa miezi nane sasa, Daktari Bingwa wa Uchunguzi wa Kisayansi na Patholojia kutoka Hospitali ya Taaluma ya Chuo...

  5. PRIME VIDEO: Jinsi Maisha yalivyo mchana, usiku Stendi ya Magufuli

    Stendi hiyo iliyogharimu Sh50.9 bilioni, iliyopo Mbezi Luis, Wilaya ya Ubungo, ilizinduliwa Februari 22, 2021 na hayati Rais John Magufuli.

  6. Wanajeshi watano wa Israel wajeruhiwa kwa kugongwa kwa gari

    Wanajeshi watano wa Jeshi la Israel (IDF), wamejeruhiwa baada ya kugongwa na gari eneo la Haifa.

  7. Matampi, Diarra vita yao ni kali Ligi Kuu 

    Wakati Yanga ikijihakikishia ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu, ushindani sasa unaonekani kuhamia kwa wachezaji katika kuzisaka takwimu bora zinazoweza kuwaweka katika nafasi nzuri ya...

  8. Hukumu mashtaka 115 ya Man City kitendawili

    Imebainika kuwa kati ya mashtaka 115 ya uvunjaji wa kanuni za Ligi Kuu England, imebainika kuwa 80 kati ya hayo yanahusu uvunjaji wa kanuni zinazohusu matumizi ya fedha huku 35 yakiwa ya...

  9. Mechi za 'Jua Kali', mateso Geita, Tabora

    Michezo ya saa 8 mchana imeonekana kuwa shubiri kwa Geita Gold na Tabora United kutokana na matokeo yasiyoridhisha ambayo zimekuwa zikipata katika mechi za ligi kuu zinazochezwa muda huo ambao...

  10. Rais Samia ateua viongozi Tume ya Walimu, TADB na TCB

    Profesa Komba ameiongoza TSC tangu Juni 2020 na wadhifa wake umekoma leo Jumatano, Mei 15, 2024, baada ya muda wake wa utumishi ndani ya TSC kumalizika.

Previous

Page 4 of 610

Next