Mchungaji Mpambichile ‘awachorea ramani’ waumini kufikia mafanikio 2025
Mchungaji wa Kanisa Anglikana la Mtakatifu Gabriel, Kibaha Pwani, Exavia Mpambichile amewahamasisha waumini wake kuanza mwaka mpya wakiwa na malengo thabiti ya maendeleo, hasa katika sekta ya...