Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

2151 results for Sharon Sauwa :

  1. PRIME Sheria ya NHC yawabana waajiri, adhabu zaongezwa

    Kifungu cha 16 cha sheria hiyo kimebadilishwa ili kuweka adhabu kwa kauli za uongo zitakazotolewa na mwombaji mkataba wa upangishaji na ushirikiano au huduma yoyote.

  2. Sheria yaja kudhibiti vitendo vya ukiukwaji wa maadili

    Katika swali hilo, Noah amehoji ni lini Serikali italeta marekebisho ya sheria ya ndoa.

  3. Muhas yaja na mradi usambazaji wa bidhaa za afya

    Mradi huo wa miaka mitatu, utahusisha, pia, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Wizara ya Afya na Bohari Kuu ya Dawa (MSD).

  4. Wanafunzi wote wenye sifa wachaguliwa kuendelea na masomo

    Wanafunzi 149,818 sawa na asilimia 69.96 wamechaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha tano huku 64,323 wakichaguliwa kujiunga na vyuo vya elimu ya ufundi na ualimu katika mwaka huu.

  5. Haya hapa majina ya waliochaguliwa kidato cha tano, vyuo

    Wanafunzi 149,818 sawa na asilimia 69.96 wamechaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha tano, huku 64,323 wakichaguliwa kujiunga na vyuo vya elimu ya ufundi na ualimu.

  6. Mashtaka ya uhujumu uchumi, uhalifu wa kupangwa kufunguliwa bila idhini ya DPP

    Bunge limepitisha marekebisho ya Sheria ya Uhujumu Uchumi na Uhalifu wa Kupangwa na sasa mashtaka yanayohusiana na makosa chini ya sheria hiyo yatafunguliwa bila kuhitaji idhini ya Mkurugenzi wa...

  7. BoT yaja na mfumo wa kukomesha mikopo umiza

    Mfumo wa fedha uliozinduliwa na Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba utasaidia kutatua changamoto ya mikopo yenye masharti kandamizi

  8. Majaliwa ataka TBS iende viwanda kudhibiti ubora

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amelielekeza Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kuanza kudhibiti ubora wa bidhaa moja kwa moja viwandani badala ya kusubiri bidhaa kukamilika kwa ajili ya ukaguzi.

  9. Zaidi ya nusu ya bajeti ya Wizara ya Fedha kulipa madeni

    Kati ya fedha hizo, Sh769.89 bilioni ni kwa ajili ya matumzi ya maendeleo huku Sh122.5 bilioni zikienda katika Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG).

  10. Watalii sasa wanaweza kuomba viza kwa mtandao

    Serikali kupitia Idara ya Uhamiaji imeanzisha mfumo wa maombi ya viza kwa njia ya mtandao (e-Visa) unaowawezesha watalii kuomba viza popote walipo duniani bila kulazimika kufika ubalozini, hivyo...

Previous

Page 4 of 216

Next