Search

63 results for Susan Uhinga :

  1. Jaji Mkuu ashauri Polisi kuacha kutangaza taarifa dawa za kulevya

    Kutangaza dawa za kulevya kwa kutumia vyombo vya habari wakati wa ukamataji ni ukiukwaji wa utaratibu wa ukusanyaji wa ushahidi.

  2. Diwani wa CCM afariki dunia

    Diwani wa Kata ya Mianjani (CCM) jijini Tanga, Yakub Nuru Othman amefariki dunia leo baada ya kuugua kwa muda mrefu.

  3. Uwanja wa ndege Tanga waboreshwa kupokea ndege kubwa

    Changamoto za miundombinu katika uwanja wa ndege Tanga zimesababisha ushindwe kupokea ndege kubwa na hivyo kuzorotesha juhudi za uchumi wa mkoa huo.

  4. Maofisa habari waagizwa kuwapa wananchi taarifa za miradi

    Maofisa habari, mawasiliano na uhusiano serikalini wametakiwa kuitangaza miradi mikubwa inayotekelezwa na Serikali nchini ili wananchi waweze kupata taarifa sahihi za utekekezaji wa miradi hiyo...

  5. Waziri Nape awapa mtego maofisa habari nchini

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Tekinolojia ya Habari, Nape Nnauye ametoa siku 14 kwa maofisa habari wa Serikali nchini kuweka taarifa zinazoenda na wakati katika tovuti na mitandao ya kijamii...

  6. Daladala Tanga zagoma, zataka kuanza nauli mpya

    Mwenyekiti wa umoja wa wamiliki wa daladala Mkoa wa Tanga, Saidi Jumbe amesema kuwa sababu ya madereva wa magari madogo mararufu daladala kusitisha huduma ni kutokana na kupanda kwa bei mafuta...

  7. TET yawafunda walimu wa masomo ya ufundi

    Serikali imesema inaendelea kufanya jitihada za kutoa mafunzo mbalimbali kwa walimu ili kuboresha taaluma na utaalamu wao katika masomo mbalimbali yakiwamo masomo ya ufundi.

  8. Auawa wakigombania unga, dagaa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linamshikilia mkazi wa kijiji cha Bwembwela wilayani Muheza kwa tuhuma za kumuua, Eliasa Omari (55) kwa kumkata mapanga akidai kumuibia unga na dangaa.

  9. Wakristo watakiwa kujitokeza kuhesabiwa

    Wakristo nchini wametakiwa kuwa tayari na kujitokeza katika sensa ya watu na makazi inalotarajiwa kufanyika Agosti 23 mwaka huu.

    New Content Item (1)
  10. Serikali yatoa Sh550 milioni kuboresha afya, elimu Tanga

    Serikali imetoa Sh550 milioni kuboresha huduma za afya na elimu katika Kijiji cha Msomera mkoani Tanga.

Previous

Page 4 of 7

Next