Search

265 results for Thobias Sebastian :

  1. Nabi atabiri mazito Simba

    MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga juzi jioni walikiwasha na Ihefu kwenye Uwanja wa Mbarali, Mbeya na matokeo kama ulivyoyaona. Kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi amesisitiza kwamba huu ndiyo...

  2. Pablo karudi, aeleza sababu kuwa Dar

    SIMBA juzi Jumapili ilikuwa Kilimanjaro dhidi ya wenyeji wake, Polisi Tanzania lakini habari ikufikie kocha wa zamani, Pablo Franco yuko nchini akitua kimyakimya. Ujio wa Pablo unaleta maswali...

  3. Barbara: Kishindo kinakuja, Simba kufyeka mastaa

    MABOSI wa Simba wamekerwa na kitendo cha timu yao kudondosha pointi kwenye mechi za ugenini na wamekubaliana kwamba hakuna namna dirisha dogo la usajili lazima watumie pesa timu irudi kwenye...

  4. Vyuma vitatu vinashuka Simba, kocha Mreno kuiona Mbeya City Jumatano

    KWENYE dirisha dogo linalofunguliwa Desemba 15, Simba itashusha mashine tatu, Mwanaspoti limeambiwa. Mwanaspoti pia linajua kwamba ndege zitaanza kupisha kwa fujo kwenye Uwanja wa Ndege wa...

  5. Sakho, Banda waletewa fundi mpya Simba

    DILI linanukia. Simba itamtambulisha kocha mpya viungo aliyekuwa akifundisha kwenye nchi za Kiarabu na kabla ya wiki hii kumalizika.

  6. Matola: Naondoka Simba

    KOCHA Msaidizi wa Simba, Seleman Matola amelithibitishia Mwanaspoti kwamba anaondoka kwenye benchi la ufundi la timu hiyo kwa muda akapige shule kidogo.

  7. Yanga yatinga makundi, kuvuna zaidi ya Sh500 milioni

    Wawakilishi wa Tanzania kwenye kombe la Shirikisho Afrika Yanga imefuzu hatua ya makundi kwenye michuano hiyo baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 ugenini. Yanga ilikuwa wageni wa Club Africain...

  8. Phiri, Chama wateka shoo Simba

    KIKOSI cha Simba tangu majuzi kinafanya mazoezini asubuhi baada ya Kocha, Juma Mgunda kuwabadilishia ratiba mastaa wake, huku Moses Phiri, Clatous Chama na Augustine Okrah waking’ara zaidi ya...

  9. Okwa aichambua Yanga

    KIKOSI cha Yanga kiliochopo nchini Tunisia kwa pambano la marudiano la mtoano wa kuwania kuingia makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji wao, Club Africain, lakini kiungo...

  10. Okwa aanika kila kitu Simba

    SIMBA ipo kambini ikiendelea kujifua kwa ajili ya mechi yao ijayo dhidi ya Singida Big Stars, huku mshambuliaji wa timu hiyo, Mnigeria Nelson Okwa akifunguka juu ya kutoonekana uwanjani na...

Previous

Page 4 of 27

Next