Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1434 results for Janeth Joseph :

  1. Wanandoa wanaodaiwa kuuawa na mtoto wao, kuzikwa kesho Moshi

    Hata hivyo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa alithibitisha kutokea kwa mauaji hayo ambapo alisema mauaji ya wanandoa hao yalitokea Mei 29, 2025 ndani ya nyumba ya kupanga...

  2. Mawakili wa Serikali waonywa mitego ya rushwa

    Mafunzo hayo yanajumuisha masuala mbalimbali, ikiwa ni pamoja na ujuzi wa utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050.

  3. Wananchi Hai waandamana, wamkataa mwekezaji shamba la Ushirika Makoa

    Mamia ya wananchi wakiwamo wanachama wa Chama cha Msingi cha Ushirika Uduru Makoa, Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, wameandamana leo Jumatatu Juni 2, 2025 wakishinikiza kuondolewa kwa mwekezaji...

  4. Lema: Uamuzi wangu kumuunga mkono Lissu ulikuwa wa kimungu

    Katika mkutano huo, Lema alisema, “Mimi ni Mmachame na Mbowe Mmachame, lakini kwa Lissu, sioni aibu kusema mbele ya Mungu nimefanya uamuzi wa Kimungu.”

  5. Mtoto adaiwa kuua wazazi wake Moshi

    Wanandoa Godfrey Mota (60) na Blandina Ngowi (53), wakazi wa Msufuni, Msaranga katika Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, wameuawa na mtu anayedaiwa kuwa mtoto wao wa kumzaa.

  6. PRIME Marufuku ya sigara maeneo ya umma mfupa mgumu

    Mbali na uvutaji huo wa sigara hadharani uchunguzi uliofanywa na Mwananchi umebaini kuwa katika maeneo mengi hakuna mabango ya kuzuia.

  7. Boni yai amtaka Mbowe asiwe mnyonge, akumbushia mchango wake

    Amesema mchango wa Mbowe kwenye chama hicho ni mkubwa na wana kila sababu ya kujivunia utumishi wake hivyo hapaswi kuwa mnyonge.

  8. Samia asimame hapo, Lissu pale mechi dakika 90 - Heche

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, John Heche amesema wanahitaji mabadiliko ya sheria za uchaguzi ili Rais Samia Suluhu Hassan ambaye ni mgombea mteule wa...

  9. Dk Tulia: Tuombee uchaguzi, viongozi wapatikane kwa haki

    Askofu Lazaro ambaye alizaliwa Oktoba 4, 1937, alifariki Mei 17, 2025 katika Hospitali ya Rufaa ya kanda ya Kaskazini KCMC, siku na mwezi sawa na aliyofariki mke wake, Evagrace mwaka 2017.

  10. TAG wamlilia Askofu Lazaro, mamia wakimuaga

    Askofu Lazaro alianza huduma za kiroho mwaka 1959, Modio Masama na mpaka anastaafu huduma hiyo mwaka 2019 alikuwa amefikisha miaka 60 ya utumishi wake.

Previous

Page 32 of 144

Next