Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1434 results for Janeth Joseph :

  1. Grace Kiwelu, Mgonja, Kilawila, Rachael wajiondoa Chadema

    Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Kilimanjaro akiwemo Mwenyekiti wa chama hicho, Gervas Mgonja, wametangaza kujivua uanachama wa chama hicho kuanzia leo...

  2. Watatu waliofariki kwa maporomoko ya udogo wazikwa

    Miili iliagwa katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Fukeni wilayani Moshi.

  3. Serikali kupima vyuo vikuu kwa ubora wa tafiti, ufundishaji

    Chuo hicho kimepandishwa hadhi na Serikali kutoka kuwa Chuo Kikuu Kishiriki cha Tiba na Afya (KCMUCo) kuwa chuo kikuu kamili.

  4. Mwanga yaomboleza: Cleopa Msuya ameacha alama isiyofutika

    Wakati maandalizi ya mazishi ya aliyewahi kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, hayati Cleopa David Msuya yakiendelea, wananchi wa Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro wameeleza...

  5. Kicheko wakulima wa kahawa TCB ikitangaza bei mpya elekezi

    Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB) imetangaza bei elekezi ya zao la kahawa, kahawa ghafi ya Arabika (CPU-parchment) imepanda kutoka Sh10,000 iliyokuwepo msimu uliopita hadi kufikia Sh11,500 kwa kilo.

  6. Watu 17 wamenusurika kusombwa na maji mkoani Kilimanjaro

    Watu 17 wanaoishi Kata ya Kiboriloni, Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, wamenusurika kusombwa na mafuriko baada ya nyumba zao kuzingirwa na maji usiku wa kuamkia leo.

  7. Watatu wafariki kwa kuangukiwa na nyumba Moshi

    Moshi. Watu watatu, wakiwemo wawili wa familia moja, wamefariki dunia katika Kata ya Mbokomu, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, baada ya kuangukiwa na nyumba yao kufuatia mvua kubwa...

  8. Tamisemi yataka kata ya Mabogini kugawanywa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa ameelekeza kuanza kwa mchakato wa kugawanywa kwa kata ya Mabogini, yenye watu zaidi ya 60,000...

  9. Wakulima Rombo waomba Serikali kudhibiti pembejeo duni

    Wamesema magonjwa hayo yanapunguza uzalishaji kwa kiasi kikubwa na kuwaathiri kiuchumi, kwani kahawa ni zao tegemeo kwa wengi wao.

  10. Unywaji pombe haramu bado tishio Kilimanjaro

    Hai. Baadhi ya wananchi wa vijiji vinne vilivyopo Kata ya Narumu, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, wametajwa kuongoza kwa unywaji wa pombe haramu kupita kiasi, hasa katika saa za kazi, hali...

Previous

Page 35 of 144

Next