Amuua mwanaye wakigombea koti Mzee mwenye umri wa miaka 82, mkazi wa kijiji cha Kilema, kata ya Olele, wilayani Rombo, mkoani Kilimanjaro, anadaiwa kumuua na kumzika mwanaye, Oscar Msamanga (42), kufuatia ugomvi uliodaiwa...
TRA yapata mwarobaini wa msongamano magari Holili Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Kilimanjaro, inakusudia kuweka mashine maalumu ya ukaguzi wa mizigo katika magari mpaka wa Holili.
PRIME Sakata la Makonda, Gambo lachukua sura mpya Gambo aliposimama kutoa salamu katika mkutano huo wa hadhara, alimtaja Dk Biteko na Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Joseph Mkude, akiwasifia kwa utendaji kazi na uchapakazi wao.
Dereva basi lililoua abiria saba, asomewa mashitaka 29 Dereva wa basi la Kampuni ya Mvungi Al-Adani Mruma, aliyesababisha ajali iliyoua watu saba na kusababisha majeruhi zaidi ya 42 amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi Moshi mkoani Kilimanjaro...
DC aagiza waliohujumu miundombinu ya reli Moshi wasakwe Zaidi ya vifungio 95 vinavyoshikilia mataluma ya reli katika kipande cha miundombinu hiyo Moshi-Arusha, mkoani Kilimanjaro vimeibiwa na watu wasiojulikana.
PRIME Mwanzo mwisho kuachiwa huru kwa aliyehukumiwa maisha kwa kumbaka mkewe Mahakama ya Rufani imemuachia huru, Shauri Vungwa aliyekuwa amehukumiwa adhabu ya kifungo cha maisha jela na viboko 12, baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka mke wake aliyekuwa na umri wa miaka 46.
Mwenyekiti wa Bawacha Siha afariki dunia, Chadema wamlilia Mwenyekiti wa Baraza la wanawake wa Chadema (Bawacha) Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, Elizabeth Mollel amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Ocean Road, iliyopo Jijini...
Askofu Kimario aishusha hadhi Parokia ya Ugweno, sababu yatajwa Jimbo Katoliki la Same limeishusha hadhi Parokia ya Ugweno iliyopo Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro kuwa kigango kwa madai waumini wake wameshindwa kuonyesha ushirikiano kwa Paroko wa kanisa...
Sh500 milioni zatumika kuondoa adha ya daraja Marangu Mtoni Moshi. Wananchi wa Kijiji cha Arisi, Kata ya Marangu Mashariki, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro wameipongeza Serikali kwa ujenzi wa daraja la kisasa katika eneo la Marangu Mtoni, lililogharimu...
Walioshtakiwa kwa kusafirisha kilo 221.43 za bangi waachiwa huru kuwa Januari 21, 2023, katika eneo la Msitu wa Ruvu Kusini, Wilaya ya Kisarawe, mkoani Pwani, washtakiwa hao walikutwa wakisafirisha dawa hizo kinyume cha sheria. Upande wa mashtaka, ukiongozwa na...