Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1435 results for Janeth Joseph :

  1. Ahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kumuua mpenzi wake

    Kwa mujibu wa ushahidi wa upande wa mashitaka, marehemu alikuwa akiishi na Mollel ambaye alikuwa ni mpenzi wake na aliuawa kikatili usiku wa kuamkia Februari 19, 2023.

  2. Rais Samia azindua mradi wa maji uliokwama miaka 20

    Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza magumu yaliyopitiwa wakati wa utekelezaji wa mradi wa maji wa Same-Mwanga-Korogwe, akisema kuna wakati ililazimika kusukumana, kusutana na hata kushitakiana na...

  3. Rais Samia azindua mradi wa maji uliokwama miaka 19

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezindua mradi mkubwa wa maji wa wilaya tatu za Same- Mwanga- Korogwe ambao utanufaisha wananchi zaidi ya 456,931.

  4. Aliyeua mke na kukamatwa miaka minane baadaye, kunyongwa hadi kufa

    Mahakama ya Rufani nchini imebariki adhabu ya kunyongwa hadi kufa aliyohukumiwa mkazi wa Kijiji cha Kiongera kilichopo Wilaya ya Tarime mkoani Mara, Nyamhanga Joseph, baada ya kukutwa na...

  5. Historia ya Clara yawaliza waombolezaji msibani

    Mamia ya waombolezaji walioshiriki mazishi ya mwanafunzi wa Chuo cha Utalii na Ufundi Marangu, Clara Kimati (21) wamejikuta wakiwa katika majonzi mazito na kububujikwa na machozi wakati historia...

  6. Rais Samia kuzindua mradi wa maji Same-Mwanga-Korogwe

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua mradi mkubwa wa maji Same-Mwanga-Korogwe Machi 9, 2025 utakaogharimu zaidi ya Sh300 bilioni.

  7. Mbunge wa zamani wa Moshi Mjini afariki dunia

    Aliyewahi kuwa Mbunge wa Moshi Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), John Mwanga (78), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Machi 5, 2025.

  8. Wingi wa nta kwenye sikio: janga jipya la kutosikia

    Watu 413 kati ya 1,598 waliofanyiwa uchunguzi wa usikivu katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini, KCMC, wamebainika kuwa na tatizo la kutokusikia, huku chanzo kikubwa kikitajwa kuwa ni...

  9. ITV, halmashauri ya Rombo katika mgogoro wa ardhi, wahusika wafunguka

    Nyaraka kuhusiana na mgogoro huo, baada ya kupewa barua hiyo ya toleo, walitakiwa kulipa kodi ya pango ya Sh64,050 kila mwaka, halmashauri iliwaelekeza kujenga majengo ya vifaa vya kudumu kwa...

  10. Wagonjwa wapya 900 wa saratani kila mwaka KCMC wamstua Waziri Mhagama

    Wakati Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) ikihudumia wagonjwa wa saratani zaidi ya 9,000 kwa mwaka, imesema wagonjwa wapya 900, ambao huongezeka kila mwaka sawa na asilimia 65...

Previous

Page 40 of 144

Next