Jela miaka 20 kwa kukutwa na vipande vya meno ya tembo
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu, Pascal Daima (43) kutumikia kifungo cha miaka 20 jela, baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na vipande viwili vya meno ya tembo vyenye thamani ya...