Pigo kwa Traore: Wanajeshi 200 wauawa Burkina Faso, al-Qaeda yatajwa Shambulio jingine kubwa lilitokea katika mji wa Sole nchini Burkina Faso, ambapo wapiganaji wa JNIM walivamia kituo cha jeshi na kuwaua wanajeshi.
Jose Mujica: Kutoka mpiganaji aliyeasi hadi Rais aliyekufa maskini Ni nadra kukutana na mtu aliyeongoza mapigano ya msituni akajitokeza hadharani kupambana na mfumo uliopo madarakani kisha kuchaguliwa kuwa Rais wa nchi.
Gachagua azindua chama chake, risasi zarindima Shughuli ya uzinduzi wa chama kipya kilichoanzishwa na aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua imeingia dosari baada ya watu ambao bado hawajajulikana kuvamia eneo ilipokuwa inafanyika...
Rais Mujica anayetajwa kuwa maskini zaidi duniani afariki dunia Ni Rais wa ajabu ambaye alikataa kuhamia katika ikulu ya rais, ambaye alitoa asilimia 90 ya mshahara wake kwenda shirika la makazi ya kijamii, ni Rais ambaye alikuwa na magari mawili tu ya zamani.
Zelensky adai Putin anamuogopa, ataja sababu ). Imeandikwa na Mgongo Kaitira kwa msaada wa mashirika ya habari.
Papa Leo XIV afuata nyayo za watangulizi wake Papa Leo wa XIV alizaliwa Septemba 14, 1955 mjini Chicago, Illinois, Marekani ni mtoto wa mwisho katika familia ya watoto watatu, alichaguliwa katika wadhifa huo Mei 8, mwaka huu.
Shahidi aieleza Mahakama P Diddy alivyomrekodi mpenzi wake akifanya mapenzi Mahakama jijini New York imeanza kusikiliza shauri linalomkabili msanii nchini Marekani, Sean Combs, maarufu P. Diddy lenye mashitaka matano ikiwemo la utumikishaji wa wanawake kingono.
Alichozungumza Papa Leo XIV na Zelensky Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika leo Jumatatu Mei 12, 2025, Papa Leo na Zelensky wamezungumzia mapendekezo ya usitishaji mapigano na malumbano kati yake na Rais wa Russia, Vladimir Putin.
Mambo manne waliyojadili Kapteni Traoré, Putin Russia Baada ya gwaride la maadhimisho ya siku hiyo (Victory Day), Rais Putin alifanya mazungumzo na wawakilishi wa mataifa mbalimbali yaliyoshiriki, akiwemo Traoré, ambapo miongoni mwa mambo...
Wacheza kamari walivyopiga mamilioni uchaguzi wa Papa Kardinali Prevost, ambaye hakutajwa sana katika mizunguko ya midahalo ya wachambuzi wa Vatican, ndiye aliyeibuka mshindi katika uchaguzi huo uliogubikwa na usiri mkubwa, na inaelezwa kuwa kuna...