Wabunge wacharuka gharama za vifurushi, matibabu ya figo Hata hivyo, Matiko amesema tangu kufanyika kwa utafiti huo, hakuna utafiti mwingine uliowahi kufanyika nchini.
Madeni ya Serikali kwa MSD yawaibua wabunge Wizara hiyo imeomba kupatiwa Sh1.61 trilioni, kati ya fedha zinazoombwa Sh991.75 bilioni zimeelekezwa katika miradi ya maendeleo ambayo ni sawa na asilimia 61 ya bajeti inayoombwa.
Serikali yaanza kununua ARVs, kufufua kiwanda cha uzalishaji Arusha Wizara ya Afya imeweka wazi kuwa tayari imeanza kununua dawa za ARVs za kufubaza makali ya Virusi vya Ukimwi (VVU), na tayari Sh93 bilioni zimetolewa kwa ajili ya ununuzi wa dawa hizo na bidhaa...
Vyama vya siasa 14 vyatoa tamko kuhusu INEC, ZEC Vyama hivyo ni ADA-TADEA, DP, NRA, NCCR-Mageuzi, UDP, AAFP, UMD, MAKINI, CUF, NLD, CCK, UPDP, TLP na SAU. Baadhi ya vyama hivyo tayari vimeteua wagombea urais.
Wadau na wabunge watoa ya moyoni Ilani ya CCM Amesema zaidi ya asilimia 85 ya mapendekezo yao waliyopeleka katika vyama vya siasa yamechukuliwa kwa sehemu kubwa.
PRIME Fumbo la Samia, nani wa kuipasua CCM? Kauli ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan juu ya ‘wenye dhamira ya kukipasua chama hicho’ imekuwa kama fumbo ambalo limewaacha wanachama wa chama hicho na...
Ilani ya CCM 2025/30 kuwekwa hadharani kesho Mkutano huo umetanguliwa na vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya chama hicho vilivyofanyika jijini Dodoma kuanzia Mei 26 na na kuhitimishwa leo Jumatano Mei 28, 2025.
Rais Samia aagiza majengo ya CCM yatumike kusikiliza kero za wananchi Amesema kuwa litakuwa jengo la kisasa litakalobeba taswira si tu ya ukubwa wa chama, bali pia nafasi yake ya kuongoza taifa la Tanzania, pamoja na kuwa miongoni mwa vyama vikubwa barani Afrika...
JKT yawaita waliomaliza kidato cha sita, vigezo hivi hapa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limewaita vijana waliomaliza kidato cha sita mwaka 2025 kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa Sheria kwa mwaka 2025.
Mabaraza huru ya habari duniani kukutana Tanzania Mkutano mkuu wa mtandao wa mabaraza ya huru ya habari duniani unatarajiwa kufanyika nchini Julai 14 hadi 17, 2025 jijini Arusha ambapo vyombo vya habari vimetakiwa kuandaa maonyesho ya kazi...