Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1435 results for Janeth Joseph :

  1. Auawa kwa kuchomwa visu na 'house boy' kwa madai ya kutompa penzi

    Kamanda Maigwa amesema kuwa, chanzo cha tukio hilo ni baada ya marehemu kumkatalia penzi 'house boy'huyo.

  2. Hukumu mwanamke aliyeuawa na kuchomwa moto Himo, kusomwa Machi 10

    Wakati upande wa utetezi ukifunga ushahidi wake katika kesi ya mauaji ya Josephine Mngara (30) aliyeuawa na kuteketezwa kwa kuchomwa moto, hukumu ya kesi hiyo inayovuta hisia za wengi, imepangwa...

  3. Aliyeua wezi kwa kuwakata mapanga, ahukumiwa kunyongwa

    Madhara ya kuchukua Sheria mkononi. Ndicho kilichomkuta mkazi wa Mara, Rhobi Chacha, ambaye amekwaa kisiki Mahakama ya Rufani iliyobariki adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa kuwauwa watu wawili...

  4. Watuhumiwa wa mauaji  Himo, wana kesi ya kujibu

    Mkemia Mkuu wa Serikali, Leonidas Michael, ambaye alifanya uchunguzi wa vina aba (DNA) wa mabaki ya mwili wa Josephine Mngara (30), anayedaiwa kuuawa kwa kuteketezwa kwa moto, amesema uchunguzi...

  5. Wanafunzi 30 waliolazwa kwa kuangukiwa na ukuta wa darasa Same, waruhusiwa

    Same. Zaidi ya wanafunzi 30 wa Shule ya Sekondari ya Tumaini Jema, wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro waliojeruhiwa kwa kuangukiwa na jengo la darasa na kulazwa Hospitali ya Wilaya ya Same...

  6. Shahidi aieleza mahakama mtuhumiwa alivyokiri kumuua mpenzi wake

    Shahidi wa 11 katika kesi ya mauaji ya Josephine Mngara (30), aliyeuawa kwa kuteketezwa kwa moto, E7657 D/SGT Hassan ameieleza mahakama namna mshtakiwa Erasto Mollel alivyokiri kuhusika na mauaji...

  7. Wanafunzi zaidi ya 30 Same wanusurika kifo

    Zaidi ya wanafunzi 30 wa Shule ya Sekondari Tumaini Jema, Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro, wamenusurika kifo, baada ya darasa waliokuwa wakisomea kuanguka kufuatia upepo mkali.

  8. Mashahidi waeleza walivyobaini mabaki ya mwili wa Josephine

    Marehemu alikuwa akiishi na Mollel ambaye alikuwa ni mpenzi wake na aliuawa kikatili usiku wa kuamkia Februari 19, 2023 na mwili wake kuteketezwa kwa moto kwenye pagale kwa kile kilichodaiwa na...

  9. Mabadiliko ya mtindo wa maisha yamvuta Dk Biteko kuhamasisha afya bora

    Amesema ulaji unaozingatia mlo kamili unasaidia kujenga mwili na kuulinda na maradhi mbalimbali.

  10. Mfanyabiashara kortini wakidaiwa kukutwa na kemikali za vileo

    Mfanyabiashara Novita Shirima (49), mkazi wa Katanini na Dereva Justine Mbise (29), mkazi wa Bomambizi wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi wakikabiliwa na mashtaka sita, ikiwemo...

Previous

Page 41 of 144

Next