Wakazi wa Kilimanjaro waeleza hali ya joto na jua kali inavyowatesa Wakati Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA) ikitangaza hali ya mvua na vipindi vya jua katika mkoa wa Kilimanjaro wananachi wa mkoa huo wamelalamikia uwepo wa joto kali nyakati za asubuhi...
Bibi wa miaka 113 azikwa Rombo, aacha wajukuu 54 Akizungumzia maisha ya bibi huyo kuishi miaka mingi, mtoto wa marehemu, Michael Assenga amesema mama yake alikuwa anapenda kula vyakula vya asili.
Wazee wapewa mitungi ya gesi kupunguza uharibifu hifadhi Kilimanjaro tukiteseka sana wakati wa kupika kwani huku tunatumia kuni lakini msitu tuliokuwa tukiutegemea kukata kuni tumezuiliwa na serikali kuingia, hivyo kupata nishati ya kuni imekuwa ni shida.
Moto wateketeza bweni la wasichana sekondari Makanya Moto ambao chanzo chake hakijafahamika, umeteketeza bweni la wasichana katika Shule ya Sekondari Makanya iliyopo Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro.
RC aagiza walevi, wacheza ‘pool table’ muda wa kazi kukamatwa Mkuu Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amewaagiza wakuu wa wilaya zote mkoani huo kukamata na kuondoka na gololi na fimbo zinazotumika kuchezea 'pool table' muda wa kazi.
Jinsi Banduka alivyoacha alama Banduka ambaye ni mzaliwa wa Kijiji cha Mruma, Tarafa ya Ugweno, Wilaya ya Mwanga, Mkoa wa Kilimanjaro, amezikwa leo Jumatano Februari 12, 2025 katika makaburi ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri...
VIDEO: Mahakama ilivyosikiliza maelezo anayedaiwa kumua mumewe Amedai kuwa, baada ya tukio hilo kutokea, mshitakiwa alipiga kelele na ndipo alijitokeza mwenyekiti wa kitongoji hicho pamoja na baadhi ya majirani wa eneo hilo.
Mwanasiasa mkongwe Nicodemus Banduka afariki dunia Mwanasiasa mkongwe nchini, Nicodemus Banduka(80) amefariki dunia akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Mloganzila iliyopo Jijini Dar es Salaam.
Dk Mpango awataka vijana kuwatunza, kuwathamini wazazi Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amewataka vijana nchini waliobahatika kuwa na wazazi walio hai kujenga utamaduni wa kuwatunza, kuwalea na kuwaonyesha upendo.
Dk Mpango ashiriki ibada ya kumuaga mama wa Profesa Mkenda Rombo Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango ameongoza mamia ya waombolezaji katika kanisa la Mtakatifu Pius wa X, Parokia ya Tarakea, wilaya ya Rombo, Mkoani Kilimanjaro katika ibada ya Misa takatifu ya...