Wenye ulemavu kukutana kujadili changamoto, fursa Kilimanjaro
Wakati watu wenye ulemavu wakikumbana na changamoto za unyanyapaa katika baadhi ya familia, jamii imetakiwa kuwathamini, kuwasikiliza, na kutowafanya wapweke, bali kuwaonyesha upendo kama ilivyo...