Siha yaandikisha wanafunzi 5,483 darasa la awali na la kwanza
Siha. Mkuu wa Wilaya ya Siha, mkoani Kilimanjaro, Dk Christopher Timbuka amesema mpaka Januari 15, mwaka huu jumla ya wanafunzi 2,819 kati ya 3,323 wameandikishwa darasa la kwanza wilayani...