Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1435 results for Janeth Joseph :

  1. Mikate yaadimika Moshi, sababu yatajwa

    Mmoja wa wafanyabiashara wa mji huo, Joseph Amani amesema kuadimika kwa bidhaa hiyo kunatokana na ongezeko la watumiaji.

  2. Mawasiliano yakatika Kizangaze, kaya 22 zikiyakimbia makazi Same

    Same. Mawasiliano ya barabara katika eneo la Kizangaze, Kijiji cha Mpirani, Kata ya Maore, Wilaya ya Same, Mkoa wa Kilimanjaro, yamekatika baada ya kingo za daraja la Kizangaze kusombwa na...

  3. Profesa Janabi: Wakazi wa Rombo kunyweni maji

    Kwa mujibu wa baadhi ya wakazi wa Rombo, kunywa maji ni jambo la nadra kwao kutokana na baridi kali

  4. Kikwete awataja Wachaga vinara wa kujituma

    Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesema iwapo Watanzania wangekuwa na ari ya kujituma kama wanavyofanya Wachaga, nchi ingekuwa mbali kwa maendeleo.

  5. Wenye ulemavu wa kupitiliza kufundishwa wakiwa nyumbani

    Profesa Mkenda amewataka maofisa ustawi wa jamii waliopo maeneo yenye watoto hao kutoa taarifa ili kuwabaini wenye changamoto zaidi ili wasaidiwe.

  6. Ni Neema, kilio bei ya vyakula, nguo zikipaa

    Miongoni mwa bidhaa za vyakula zilizopanda bei ni vitunguu saumu ambavyo kilo moja inauzwa Sh17,000 kutoka Sh7,000 ya awali katika masoko mengi ya jijini Dar es Salaam

  7. Mwenyekiti wa kitongoji wa Chadema atimkia CCM

    Akizungumzia uamuzi wake huo leo Desemba 21, 2024, Lyakurwa ametaja sababu za kutimkia CCM akisema amejiona mpweke kuwa peke yake, hivyo ameamua kuungana na chama hicho ili wafanye kazi kwa pamoja.

  8. Kilimanjaro yatumia Sh17 bilioni maandalizi ya masomo Januari 2025

    Mkoa huo unatarajia kusajili wanafunzi 30,901 watakaojiunga na kidato cha kwanza Januari 2025.

  9. RC Babu ataka waliopo maeneo hatarishi mkoani Kilimanjaro kuondoka mara moja

    Kufuatia mvua zinazonyesha maeneo mbalimbali Mkoani Kilimanjaro, Mkuu wa Mkoa huo, Nurdin Babu amewataka wananchi wanaoishi maeneo hatarishi katika mkoa huo kuondoka mara moja ili kuepuka majanga...

  10. TRC yaongeza treni ya abiria Kilimanjaro, Arusha

    Kufuatia wingi wa abiria wanaokwenda mikoa ya Kaskazini hususan Mikoa ya Kilimanjaro na Arusha msimu huu wa sikukuu za mwisho wa mwaka, Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeongeza safari moja ya...

Previous

Page 47 of 144

Next