Changamoto ya soko yawasukuma wakulima kuanzisha kiwanda
Wakulima wa ndizi zaidi ya 30 kutoka Kata ya Maharo, Wilaya ya Rombo, Mkoani Kilimanjaro, wameungana na kuanzisha kiwanda cha kuchakata ndizi ili kukabiliana na changamoto ya kukosekana kwa soko...