Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1435 results for Janeth Joseph :

  1. Tanzania ilivyojiandaa kwa teknolojia ya Akili Mnemba kwenye elimu

    Moshi. Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema Serikali imejipanga kutoa mafunzo ya teknolojia ya Akili Mnemba (AI) katika vyuo vikuu hapa nchini, lengo ikiwa ni...

  2. Polisi Kilimanjaro yakiri kumshikilia Mwenyekiti Chadema mkoa

    Aidha, amesema mtuhumiwa anachukuliwa maelezo ili hatua zingine za kisheria ziweze kufuata.

  3. Mtoto aliyekatishwa masomo ili aolewe ajeruhiwa

    Mtoto huyo anadaiwa kuozeshwa na wazazi wake na kukatishwa masomo mwaka jana alipokuwa darasa la sita, katika shule moja eneo la Engaruka.

  4. Makandarasi Moshi walia Tarura kutowalipa

    Wakati kamati ya uchunguzi wa ajali ya jengo lililoporomoka Kariakoo na masuala mengineyo ikianza kazi, wataalamu na wenyeji wa eneo hilo, wamebainisha madudu lukuki ambayo kamati hiyo haiwezi...

  5. Bei ya tangawizi yapaa Moshi ikifikia kilo Sh7000, ukame watajwa

    Zao hilo linalimwa kwa wingi hapa nchini huku mkoa wa Kilimanjaro ukitajwa kulima zao hilo kwa zaidi ya asilimia 70 ya uzalishaji wake, ambapo kwa mwaka zao hilo huzalisha tani 15,400 kati ya...

  6. CCM yajinadi kwa miradi ya maendeleo, Chadema ikianzisha ‘Operesheni Ondoa Mizigo’

    Wakati baadhi ya vyama vya siasa vikizindua kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa, mkoani Kilimanjaro, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimejinadi kwa kutumia miradi ambayo imetekelezwa kwa kipindi...

  7. Wanafunzi 15 mbaroni wakidaiwa kufanya vurugu Sanya Day

    Dk Timbuka amesema vurugu hizo zinatokana na mmoja wa wanafunzi kukutwa na simu na walinzi shuleni hapo na kutoa taarifa kwa mmoja wa walimu, kitendo alichosema hakikuwafurahisha wanafunzi hao.

  8. Wabunge wataka wamiliki hoteli kuwatumia wataalamu wazawa wa kahawa

    Imesema kufanya hivyo kutalinda taaluma ya kahawa inayozalishwa hapa nchini na kuleta tija katika sekta hiyo ya kahawa.

  9. PRIME Chadema yajibu kauli za Lissu, Dk Slaa

    Japo ufafanuzi wa Chadema haukutaja waliotoa hoja hizo zinazojibiwa, lakini inafahamika kuwa Tundu Lissu ameibua hoja ya kugawana madaraka maarufu kwa jina la nusu mkate na madai ya rushwa ndani...

  10. Adaiwa kumuua baba mkwe wake, amjeruhi mama mkwe, kisa wivu wa mapenzi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia mfanyabiashara Deogratius Mbuya (40), mkazi wa Kijiji cha Leghomulo, Kata ya Kilema Kusini, Wilaya ya Moshi, mkoani humo akituhumiwa kumuua baba...

Previous

Page 50 of 144

Next