Rais Ruto apigwa na kiatu akihutubia, watatu watiwa mbaroni
Katika hali isiyo ya kawaida, Rais wa Kenya, William Ruto, amejikuta akipigwa na kiatu mkononi kilichorushwa kutoka kwenye umati wa watu aliokuwa akiwahutubia katika mji wa Kehancha Magharibi mwa...