Watoto wa darasa la tano na sita wakalia mikeka darasani
Wanafunzi wa darasa la tano na sita katika Shule ya Msingi Ziwani, iliyopo Kata ya Pongwe, jijini Tanga, wanalazimika kukaa kwenye mikeka darasani wakifuatilia masomo yao kutokana na uhaba wa...