Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

89 results for Mbonea Herman :

  1. Dk Mwigulu ashtukia ‘kichaka cha gharama’, asema…

    Dk Mwigulu amesema hatavumilia mbinu za kupandisha gharama za miradi kwa kisingizio cha ununuzi wa vifaa kutoka mbali wakati vinapatikana katika maeneo husika.

  2. Baba asimulia alivyowaokoa wanawe wawili moto ukiteketeza nyumba

    Tukio hilo la moto lilitokea jana Ijumaa Februari 6, 2026 na kuteketeza mali zote zilizokuwapo ndani ya nyumba hiyo, na kuwaacha wapangaji wakiwa hawana mahali pa kuishi.

  3. Ukosefu wa taa za barabarani wachochea uporaji Tanga

    Uchunguzi uliofanywa na Mwananchi kwa nyakati tofauti wiki hii katika Kata ya Majengo jijini Tanga umebaini mitaa kadhaa haina taa za barabarani, hali inayosababisha kiza kinene nyakati za usiku...

  4. Abdulla ahimiza usimamizi wa maadili kwa vijana

    Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla ameitaka jamii kuendelea kusimamia maadili ya vijana kwa misingi ya dini, sambamba na kuhakikisha wanapata elimu bora, kama sehemu ya...

  5. Uhaba wa mbegu bora unavyokwamisha uzalishaji wa ufuta Tanga

    Ameongeza kuwa taarifa hiyo imewapa matumaini mapya wakulima wa eneo hilo, wakitarajia kuongeza uzalishaji mara tatu zaidi katika msimu ujao wa kilimo.

  6. ‘Vishandu’ waibua hofu Tanga, polisi wakamata watuhumiwa 55

    Vijana wanaohofiwa kujihusisha na vitendo vya uhalifu maarufu kama vishandu wameendelea kuwa tishio kwa usalama wa wakazi wa Jiji la Tanga, wakihusishwa na uporaji wa simu, kuvunja biashara na...

  7. BoT yatahadharisha kuhifadhi fedha kwenye matiti, pindo la kanga

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewakataza wananchi, hususan kina mama, kuhifadhi fedha kwenye matiti ikieleza tabia hiyo huharibu ubora wa fedha na kuilazimisha Serikali kugharamia kuchapisha mpya...

  8. Ukatili wa kijinsia Tanga waendelea kuongezeka, Tamwa yapaza Sauti

    Tanga. Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (Tamwa) kimesema vitendo vya ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto vinaendelea kuongezeka katika Mkoa wa Tanga na Kanda ya...

  9. TIB yatoa elimu ya mitaji kwa wajasiriamali

    Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Tanzania (TIB), Deogratius Kuyukwa amesema benki hiyo inatumia kikamilifu maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa kuwafikia wananchi wenye...

  10. BOT yawaonya wafanyabiashara wa kubadilisha fedha kinyume cha sheria

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewataka watu wanaojihusisha na biashara ya kubadilisha fedha za kigeni kuacha moja kufanya shughuli hiyo kinyume cha sheria na kufuata taratibu zilizowekwa ili...

Previous

Page 8 of 9

Next