Serikali kuendelea kutoa elimu ya fedha, kulinda mali za wananchi
Mjema amesema utafiti wa upatikanaji wa huduma za fedha umefanyika kwa awamu mbalimbali kuanzia mwaka 2006, 2009, 2013, 2017 hadi 2023, na kubaini kuwa ni asilimia 53.5 tu ya wananchi wanaotumia...