Zitto: ACT Wazalendo tunashiriki uchaguzi kwa masilahi ya Watanzania Amesema ACT Wazalendo, kinawapenda na kuwajali Watanzania na viongozi wake wanaamini nguvu ya wananchi kwenye upigaji kura.
PRIME Mawaziri wa Kikwete, JPM wanavyopambana kurejea mjengoni Ukiacha makundi ya vijana, wanazuoni, watumishi wa umma na wanataaluma mbalimbali, uchukuaji fomu za ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), umewaibua mawaziri kadhaa ambao pengine...
Hotuba ya Samia ilivyowagusa wasomi, watoa mapendekezo Hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan kuhitimisha shughuli za Bunge la 12 imepokewa kwa maoni mseto na wadau wakiwamo wachumi, wanasiasa na wachambuzi wa masuala ya kijamii.
Kaboyoka: Nimekuja ACT Wazalendo na watu, tutaishangaza dunia Oktoba 2025 Bado Tunaendelea na usajili wa vigogo, hii ndio kauli iliyotamkwa na viongozi wa ACT Wazalendo. Kauli hiyo imekuja muda mfupi baada ya kumkabidhi kadi ya uanachama Naghenjwa Kaboyoka aliyekuwa...
Ester Bulaya atimkia CCM, kuchukua fomu kugombea Bunda Aliyekuwa mbunge wa viti maalumu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Ester Bulaya ameweka wazi kuwa amerudi Chama Cha Mapinduzi (CCM) akitangaza kugombea Jimbo la Bunda Mjini mkoani...
Rais Samia: Kuundwa kwa INEC kumejibu kilio cha wadau wa siasa Rais Samia Suluhu Hassan, amesema kuundwa kwa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) kumejibu wa hoja wa wadau wa siasa waliokuwa wakiitaka kwa muda mrefu.
Rais Samia amwagia sifa Dk Tulia Rais Samia Suluhu Hassan amesema Spika wa Bunge la Tanzania, Dk Tulia Ackson ameliongoza vyema Bunge la 12 na kufanikisha kukamilika kwa jumla ya mikutano 19 ya Bunge hilo.
PRIME Wajumbe CCM wageuka lulu majimboni Kati ya wanaopigana vikumbo, wamo wabunge, wawakilishi na madiwani wanaomaliza muda wao na wanahitaji kurudi tena kwenye vikao vya maamuzi na watia nia wapya wanaohitaji nafasi hiyo.
PRIME Wiki ya hekaheka mchakato majimboni, Rais Samia akielekea kulihutubia Bunge Ni wiki ya hekaheka katika siasa nchini. Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na matukio makubwa katika medani za siasa yanayotarajiwa kufanyika.
Wataalamu wasio na kampuni wapigiwa chapuo Kabla ya mabadiliko hayo, sheria ilikuwa inalazimisha ili usimamie mradi lazima uwe kampuni au utoke kwenye kampuni, lakini mabadiliko yaliyofanyika katika sheria ya AQRB namba nne ya mwaka 2010...