PRIME Huu ndio umuhimu wa elimuhisia kwenye mfumo wa elimu Watafiti wa eneo hili la hisia wanatuambia kuwa hisia, kama eneo muhimu katika makuzi, ni zao la uhusiano wa karibu baina ya mtoto na mzazi wake. Miaka ya mwanzo ya maisha ya mtu inajenga msingi...
Wazazi wanavyoharibu watoto kwa hoja ya adhabu Katika makala haya, tunachunguza madhara ya adhabu kwa kutumia ushahidi wa kisayansi.
PRIME Kwa nini mzazi uwaze adhabu kila wakati? Unapomfinya mtoto, kwa mfano, unapomchapa, unapomtenga na kumkasirikia, unapompa kazi ngumu kumuumiza kama matokeo ya kosa lake, hapo unakuwa umemuadhibu.
Viongozi wa dini watoa neno suluhu ya mashauri ya ndoa Wakati Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu ikija na mkakati wa kushughulikia mashauri ya ndoa kwa kutenga fungu kwa ajili hiyo, viongozi wa dini wameshauri nguvu...
PRIME Malezi ya watoto yanavyochochea ubabe katika jamii Wazazi tunaamini amani na utulivu kwenye ngazi ya familia ni pale tunapokuwa na watoto wasiofikiri, wasiouliza, wasiothubutu kutofautiana na wazazi ambao ndio mamlaka katika familia.
PRIME Kashfa, kejeli vinapogubika talaka za mastaa Kejeli zimekuwa zikishuhudiwa kwenye mitandao ya kijamii, baadhi wanapoachana hutumia jukwaa hilo kueleza udhaifu wa mwenzake. Wapo wanaokwenda mbali zaidi na kuanika kwa umma mambo ambayo...
PRIME Hatari teknolojia ya ChatGPT inapoaminika kuliko mzazi Hapa nafanya nazungumza na Damari, mwanafunzi wa shahada katika taasisi moja ya elimu ya juu jijini Dar es Salaam.
Unafahamu masaibu anayopitia mwanao na hakuambii wewe mzazi? Kama sehemu ya wajibu wangu wa kitaaluma, huwa ninaandaa, kuendesha na kutathmini mafunzo ya ulinzi wa mtoto kwa walimu, wanafunzi na wazazi kwenye shule mbalimbali.
PRIME Unalea au unawafuga watoto? Ufugaji, tofauti na malezi, ni kumnyima mtoto uhuru wa kufikiri hali inayomnyang’anya na kutweza utu wake.
PRIME Doa la CAG utoaji elimu bila malipo Hii si mara ya kwanza kwa ofisi ya CAG kuonyesha namna Serikali inavyosuasua kugharimia sera ya elimu inayotajwa kuwa mkombozi kwa watoto wengi wa familia masikini.