Chanzo, tiba msongo wa mawazo kazini - 1 Huu ni msongo wa mawazo kwa watu walio kazini. Kwa kawaida, husababishwa na mazingira ya kazi, uzito wa kazi na uwezo wa mtu kuimudu kazi.
KONA YA MAUKI: Jinsi ya kuishi na mtu anayetoa lawama Hakuna mtu hata mmoja anayependa kupokea lawama. Mara nyingi jinsi unavyomjibu yule anayekulaumu sio katika hali njema, labda utamwambia maneno ya dharau, kejeli, matusi au kujibu kihasira.
PRIME Sababu wazazi wa kiume kupoteza upendo, kukataliwa na watoto wao-1 Labda wewe unaweza kuwa shahidi wa familia nyingi au hata familia unayotoka kwamba, watoto wengi hupoteza ukaribu na baba zao na kuongeza ukaribu sana na mama zao, hususan wazazi wanapokuwa na...
PRIME Hii hapa namna ya kuongeza ufanisi kwa wafanyakazi wa nyumbani Kutokana na hali ya maisha kubadilika na kufanya wazazi wote wawili, yaani baba na mama kulazimika kufanya kazi au kwenda kazini, jukumu la malezi ya watoto majumbani limebakia kwa kiasi kikubwa...
Mpenzi wako ana hasira? Fanya haya… Katika mahusiano ya aina yoyote, hakuna anayeweza kusema hajawahi kukasirika. Mara kwa mara tunakwazana na kukasirishana, ingawa wako wale ambao hasira yao iko karibu zaidi na huja kwa ukali...
PRIME KONA YA MAUKI: Je, una kiu na ndoa yenye mafanikio? Watu wengi wamekuwa wakifundishwa na kuelewa kwamba tunachotakiwa kuwa nacho ili tuishi kwenye ndoa ni upendo peke yake, upendo ukiwepo basi hakuna haja ya kingine chochote, mengine yatakuja...
Mambo ya kuzingatia kwenye uhusiano Utakubaliana na mimi kwamba wengi wetu tunapitia changamoto nyingi sana katika ndoa au mahusiano yetu. Wengine hawapendi hali wanazozipitia lakini hawajui kwa nini wanapitia hali hizo, wakati...
PRIME Namna za kuijenga ndoa yako-2 Wiki iliyopita katika makala haya tulianza kuangalia kanuni rahisi za kukusaidia kuijenga ndoa yako. Makala iliyopita ilizitaja kanuni tano, wiki hii tunamalizia kuziangalia kanuni nyingine tano.
Ndoa yako ina changamoto? Fanya haya kuijenga Kabla sijaenda mbali na kukuruhusu wewe msomaji kuzama ndani ya makala hii nadhani ni vema niliweke hili wazi kwamba njia hizi ninazozizungumzia sio ndiyo misingi ya ndoa. Misingi ya ndoa ni...
Ulevi unavyochangia kuchepuka Ushawishi wa kilevi, unaelezwa kuwa moja ya sababu zinazochangia wenza kuchepuka. Wako watu wanaojiamini sana na wanajihisi wenye uwezo wa kujizuia, lakini mara wanapokuwa katika ulevi hushindwa...