PRIME Siri madai vigogo kuhongwa na kampuni Acacia zavuja Unaweza kusema ni fumbo au kitendawili baada ya kuvuja kwa barua pepe (Mwananchi halijazithibitisha) na kuchapishwa kwa habari inayoelezea tuhuma za rushwa kwa kikosi kazi cha Tanzania...
PRIME Dk Biteko azitega Tanesco, Ewura Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amewataka watumishi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) kufanya kazi kama timu moja huku akiagiza bodi ya mamlaka...
PRIME Hivi ndivyo Dola inavyowatikisa wakulima wa tumbaku Uhaba wa Dola nchini umeendelea kuumiza makundi ya watu wakiwemo wakulima wa tumbaku ambao wengi wao mpaka sasa wana mashaka na maandalizi ya msimu ujao wa zao hilo.
TCRA kuja na katuni za watoto kulinda maadili Katika jitihada za kukabiliana na maudhui yasiyofaa Mamlaka ya mawasiliano TCRA imesema inashirikiana na mzalishaji binafsi kutengeneza katuni za watoto.
PRIME Ulaghai kwa simu bado, Serikali na watoa huduma wakuna kichwa Wakati tangazo la kutaka kila laini ya simu isajiliwe kwa alama za vidole linatolewa, watu walijua ulaghai na udanganyifu kwa njia ya simu utabaki historia, lakini sasa ni takribani miaka mitano...
LIVE: Tanesco na safari ya kuliangaza Taifa Dar es Salaam. Umeme ni miongoni mwa nishati muhimu na nyeti katika ulimwengu wa sasa, ambayo husukuma mbele gurudumu la maendeleo ya kiuchumi kwa watu na Taifa. Bila kujali chanzo chake, umeme...
PRIME Utelekezwaji wa miradi mikubwa, ufanisi mdogo Chato Bila shaka ilikuwa vigumu kwao kupokea hali ile, lakini uhalisia ulibaki kuwa kuanzia Machi 17, 2021, wakazi wa Kijiji cha zamani (Mlimani), mji na Wilaya ya Chato, mkoani Geita kwa jumla...
PRIME Biashara, maisha Chato katika wakati mgumu Kama haujatembelea Chato hivi karibuni, mji huo ukiuangalia kutokea mbali na hata baada ya kufika katikati utapata picha ya mji unaokua kwa sababu ya majengo mengi mapya kama ilivyo kwa...
PRIME Ndoto za Magufuli Uwanja wa Ndege Chato zatatizwa Ofisa Uhusiano wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), Sarah Reuben akijibu swali la Mwananchi “kwa nini safari za Chato zimefutwa,” anasema “hazijafutwa” isipokuwa kuna mabadiliko katika mpangilio...
Ndege ya mizigo ya ATCL kufanya safari ya pili leo Ndege ya mizigo ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) leo Jumatatu, Julai 10, 2023 inatarajia kufanya safari yake ya pili ya kupeleka mzigo Dubai huku ikiendelea kuvutia kasi masoko mengine muhimu.