PRIME Mshikemshike uchukuaji fomu CCM Mshikemshke wa uchukuaji na urejeshaji wa fomu za kuwania uteuzi wa nafasi za udiwani, ubunge na uwakilishi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) umeanza rasmi leo, Juni 28, 2025, na kuvutia makada...
Wananchi Mbeya walilia kukamilishwa kwa barabara ya Ilembo - Sapanda Wananchi wa vijiji vya pembezoni mwa barabara ya Ilembo—Mwala—Sapanda, kikiwepo Kijiji cha Ilembo, Wilaya ya Mbeya, wameutaka Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (Tarura) kukamilisha kwa...
Wanaonyanyasa wanawake wajane, kufanya ukatili jinsia waonywa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya kimekemea vikali vitendo vya ukatili wa kijinsia na unyanyasaji vinavyotendeka dhidi ya wanawake wajane nchini.
Watahadharishwa kuchunga ndimi zao kuelekea uchaguzi mkuu Hayo yamebainishwa leo Juni 23, 2025 na Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa (Mnec) Mkoa wa Mbeya, Ndele Mwaselela wakati akifungua kongamano la maombi na maombezi ya kumuombea Rais Samia Suluhu...
Mbaroni akituhumiwa kula njama kumuua mama yake mzazi Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Steven Kipara (38), mkazi wa Ipwizi Wilaya ya Mbeya kwa tuhuma za kupanga njama na kukodi watu kwa lengo la kumuua mama yao mzazi Kweli Lugembe (75)...
Mwanafunzi wa Must mbaroni, mauaji ya mwenzake wakiwa 'Club' Amesema baada ya marehemu kubainika kudhurika ndipo wasamaria wema walimbeba na kumuwahisha katika Hospitali ya Rufaa Kanda kwa matibabu zaidi.
Parachichi larejesha tabasamu wanafunzi waliotembea umbali mrefu Katika mkutano huo Homera alitoa ombi la kuwataka wanunuzi kukatwa Sh200 za mauzo kwa ajili ya kuchangia ujenzi huo jambo ambalo lilikubaliwa.
Mapato Halmashauri ya Rungwe yaongezeka hadi Sh8.6 bilioni Homera amesema alipoteuliwa kushika wadhifa huo, halmashauri hiyo ilikuwa ikikusanya Sh4.5 bilioni, lakini sasa imeongeza umakini wa ushirikishwaji na kufikia Sh8.6 bilioni kwa kipindi cha miaka...
RC Homera atoa maagizo kukabili uhalifu mipakani mwa Malawi Rungwe. Serikali Mkoa wa Mbeya imeagiza uongozi Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe kuharakisha kukamilisha ujenzi wa kituo cha Polisi Kata ya Ikuti ili kudhibiti vitendo vya uharifu na uvunjifu wa...
Mkandarasi kikaangoni Mbeya, apewa siku 10 kujisalimisha Miradi hiyo inatekelezwa na Kampuni ya M/s Mc David Tanzania Co Ltd ya jijini Dar es Salaam chini ya Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (Tarura),Wilaya ya Rungwe.