PRIME Saa 72 za moto Chadema, kauli ya Lissu… Katika hotuba yake siku hiyo ambayo imeibua mjadala ndani na nje ya chama, Lissu alisema: “Wakati nakuja hapa Iringa jana na juzi kulikuwa na mtafaruku mkubwa sana, sijui kama mnafahamu, ndani ya...
CCM yatoa msimamo mikopo kwa wanafunzi elimu ya juu CCM katika taarifa imesema, “Maoni ya baadhi ya watu juu ya kuondolewa kwa fedha za kujikimu hayatazingatiwa kwani hakuna haja ya kumpangia matumizi ya fedha mtu mzima, bali CCM itaendelea...
Baba matatani akituhumiwa kumlawiti mtoto wake wa miaka tisa Mtuhumiwa huyo aliachana na mkewe na kuamua kuishi na watoto wake watatu akiwamo huyo anayetuhumiwa kumlawiti.
Mwanafunzi aliyepotea, mwili kukutwa kwenye shimo la choo azikwa Mwili wake ulipatikana Mei 7, 2024 ndani ya shimo la choo akiwa amefariki dunia.
Mbinu mpya uendeshaji Kikoba kidijitali Aina mbili za vikoba zimezinduliwa, cha kwanza kikihusisha watumiaji wa mitandao ya simu ya Tigo, Halotel, Airtel na Vodacom, na cha pili kikihusisha watumiaji wa mitandao tofauti kikipewa jina...
Samia: Mradi Liganga, Mchuchuma uanze “Hivyo nikuombe Waziri wa Viwanda na mwenzako wa Uwekezaji, malizieni suala la Liganga na Mchuchuma, tupate kampuni bora itakayoanza kuchimba chuma ile ili iwe malighafi katika viwanda hivi...
CCM yatoa msimamo mikopo kwa wanafunzi elimu ya juu CCM katika taarifa imesema, “Maoni ya baadhi ya watu juu ya kuondolewa kwa fedha za kujikimu hayatazingatiwa kwani hakuna haja ya kumpangia matumizi ya fedha mtu mzima, bali CCM itaendelea...
Petroli yapanda, dizeli ikishuka Zanzibar Bei ya petroli imepanda kutoka Sh3,133 ya Aprili hadi Sh3,182 kwa lita moja ikiwa ni tofauti ya Sh49 sawa na asilimia 1.56
PRIME Kwa nini mhimili wa nne unahitaji kuwezeshwa? Wiki hii nzima, nimekuwa jijini Dodoma kuhudhuria mikutano mitatu muhimu ya mambo ya habari. Tulianza na mkutano mkuu wa 13 wa mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), mgeni rasmi alikuwa...
PRIME Dar inavyozizidi nchi zaidi ya 10 kwa utajiri Afrika Pengine ni vigumu kuamini, lakini ndio ukweli wenyewe. Kama Dar es Salaam ingekuwa ni nchi ingekuwa na uchumi mkubwa kuliko mataifa mengi ya Afrika, hata Ulaya pia.
Simba yaipiga Azam, Fei akosa penalti Mgunda ameingoza Simba kuvuna pointi 10 katika michezo minne iliyopita kwa kutoa sare moja dhidi ya Namungo na kushinda tatu mfululizo bila ya kuruhusu bao mbele ya Mtibwa Sugar, Tabora United...
Nyoshi ana gharama balaa! Jina la Nyoshi lilikuwa kubwa zaidi alipokuwa akiitumikia Bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ ‘Wazee wa Pamba’ jukwaani kabla ya kumiliki bendi yake mwenyewe inayoitwa Bogoss Musica ‘Nyumba...
Uhuru wa habari ni wajibu wa kila mdau Leo ni Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, ambayo huadhimishwa Mei 3, kila mwaka. Katika siku hii, wadau wanapata nafasi ya kutafakari umuhimu wa tasnia ya habari katika kuchochea uhuru...
Mpenzi wako ana hasira? Fanya haya… Katika mahusiano ya aina yoyote, hakuna anayeweza kusema hajawahi kukasirika. Mara kwa mara tunakwazana na kukasirishana, ingawa wako wale ambao hasira yao iko karibu zaidi na huja kwa ukali...