Mjane aliyekuwa akilala barabarani ajengewa nyumba Mjane Judith Wambura, aliyekuwa akilala kwa miezi miwili mfululizo katika mataa Ubungo jijini hapa, amekabidhiwa nyumba mpya iliyojengwa kwa mchango wa wasamaria wema.
Abiria wa Mtwara – Dar sasa wazunguka barabara ya Songea Baada ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) kutoa vibali vya dharura kwa mabasi kupita njia ya Songea wakitokea Lindi na Mtwara, hali ni tete kwa Mkoa wa Lindi huku mkoa wa Mtwara...
PRIME Sababu za mastaa kutoboa soksi Kumekuwa na mabadiliko mengi ya mavazi kwa wacheza soka duniani kote, lakini hili la kutoboa soksi nyuma linaonekana kuwashangaza mashabiki wengi.
Mikakati ya Serikali kuipa nguvu ATCL Serikali imesema miongoni mwa miradi mikubwa ya maendeleo kwa mwaka wa fedha wa 2024/2025 itakayopewa kipaumbele, ni pamoja na ufufuaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL).
Pacha wa miezi mitano wafariki kwa kuungua moto Morogoro Marugujo ameiambia Mwananchi Digital leo Mei 5,2024 kuwa taarifa za wito walizipokea majira ya saa 3 usiku lakini kutokana na ubovu wa miundombinu hususan ya barabara walichelewa na walipofika...
PRIME Utata askari Polisi akidaiwa kumjeruhi mtuhumiwa kwa risasi Taarifa ambazo Mwananchi linazo ni kuwa tayari suala hilo limeshaanza kuchunguzwa na maofisa wa Polisi makao makuu, waliofika Mirerani wakiwa na maofisa wa Mkoa wa Manyara.
Huduma za kibingwa zatua hospitali 184 za halmashauri Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amezindua mpango wa makambi ya madaktari bingwa waliosambaa nchi nzima kutoa za matibabu kwenye hospitali zote 184 za halmashauri.
Wasichana wapewa mbinu kumudu masomo ya sayansi Kikubwa kinachoangaliwa ni kubuni na kutengeneza mifumo inayotatua changamoto za jamii
Miaka 20 ya Poland ndani ya Umoja wa Ulaya Leo, Mei Mosi, Poland inaadhimisha miaka 20 tangu ilipojiunga na Umoja wa Ulaya (EU) mwaka 2004. Kipindi hicho, ilipokea kundi kubwa la nchi 10 za Ulaya Mashariki na Kati, ikiwemo Poland ambazo...
Uzalishaji korosho wapaa, sababu zatajwa Louis Kolumbia, Mwananchi [email protected] Dar es Salaam. Uzalishaji wa korosho umepanda kwa tani 115,900, kutoka 189,114 zilizozalishwa msimu wa 2022/23 hadi tani 305,014 katika...
Waarabu sasa wamwania Mourinho Kwa mujibu wa ripoti kutoka The Sun, kocha wa zamani wa AS Roma na Manchester United Jose Mourinho yupo katika mazungumzo na baadhi ya timu za Saudi Arabia kwa ajili ya kurudi kazini baada ya...
Vijana 24 kuingia mjengoni shoo ya Bingwa Ile shoo ya Parimatch bingwa inaingia msimu wa tatu mbali na kuwasaka washindi kutoka mikoa mitano goli la zawadi nalo limetanuliwa, huku vijana 24 wakitarajiwa kuingia mjengoni.
Uhuru wa habari ni wajibu wa kila mdau Leo ni Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, ambayo huadhimishwa Mei 3, kila mwaka. Katika siku hii, wadau wanapata nafasi ya kutafakari umuhimu wa tasnia ya habari katika kuchochea uhuru...
Mpenzi wako ana hasira? Fanya haya… Katika mahusiano ya aina yoyote, hakuna anayeweza kusema hajawahi kukasirika. Mara kwa mara tunakwazana na kukasirishana, ingawa wako wale ambao hasira yao iko karibu zaidi na huja kwa ukali...