VIDEO: Gwaride maalum linapita mbele ya JPM katika sherehe za Muungano

Gwaride maalum katika sherehe za miaka 53 ya Muungano

Muktasari:

Rais aliwasili uwanja wa Jamhuru saa 3:15 akiwa kwenye gari la wazi.

Dodoma. Gwaride maalum linapita mbele ya Rais John Magufuli sasa hivi katika uwanja wa Jamhuri, Dodoma, katika maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano.

Rais aliwasili uwanja wa Jamhuru saa 3:15 akiwa kwenye gari la wazi.

Viongozi mbalimbali wamewasili uwanjani hapo kwa ajili ya sherehe hizo.