Rais Magufuli ateua mwenyekiti Costech

Muktasari:

 

 

 

 

Rais John Pombe Magufuli amemteua Profesa Makenya Maboko kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Sayansi na Teknolojia Tanzania (COSTECH).
Taarifa iliyotolewa leo Februari 19, 2018 imesema uteuzi wa Profesa Maboko unaanza leo. Profesa Maboko ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).