VIDEO: Urusi yatengeneza fedha za Kombe la Dunia

Muktasari:

Mechi ya kwanza ya Kombe la Dunia itawakutanisha miamba Uruguay dhidi ya Misri 14 Juni.


Urusi. Benki Kuu ya Urusi imetambulisha noti mpya maalumu ambazo zitatumika katika Kombe la Dunia linazofanyika nchini humo kuanzia Juni 14.

Naibu Gavana wa Benki hiyo, Olga Skorobogatova alisema fedha hizo ni noti za fedha ya nchi hiyo za Rubby 100.

Alisema kwamba upande mmoja una rangi ya blue na upande mwingine kuna rangi ya kijani ambapo inaonyesh amtoto akiwaa meshika mpira.

Tukio hilo la uzinduzi wa fedha hizo mpya lilihudhuriwa na kipa mkongwe wa zamani waUrusi, Lev Yashin.

Naibu Gavana huyo alisema upande mmoja umeonyesha jinsi ambavyo dunia imejiingiza kwenye soka.

Mechi ya kwanza ya Kombe la Dunia itawakutanisha miamba Uruguay dhidi ya Misri 14 Juni.