Friday, July 21, 2017

Morata asisitiza kuondoka, Milan yajitosa

 

Madrid, Hispania. AC Milan imejitosa kuisaka saini ya Alvaro Morata ambaye ndoto yake ya kuhamia Manchester United imeingia kiza baada ya kushindwa kufikia dau wanalotaka Real Madrid.

Milan inayomilikiwa na mataji wa China wameonyesha wapo tayari kutoa dau wanalotaka Madrid la zaidi ya euro 90 milioni wanazotoka kumwachia nyota huyo.

Morata pamoja na kutwaa taji mengi msimu uliopita, lakini hakuna na namba ya kudumu katika kikosi cha Real Madrid jambo lililofanya kuomba kuondoka, lakini Manchester United wamemwagusha kwa kushindwa kufikia dao linalotakiwa.

-->