Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Wasanii wakusanyika kuzungumzia sakata la Roma Mkatoliki

Muktasari:

Roma alichukuliwa akiwa na wenzake sita usiku wa kuamkia Jumatano, sambamba na baadhi ya vifaa.Baadhi ya wasanii ambao wamewasili hivi sasa ni pamoja na Chege, Stamina na Niki wa Pili

Dar es Salaam. Baadhi ya wasanii wameanza kuwasili zilipo studio za Tongwe Records, Coco Beach Masaki, ikiwa ni katika kikao cha dharura kujadili mustakabali wa msanii Roma Mkatoliki aliyepotea baada ya kuchukuliwa na watu wasiojulikana.

Roma alichukuliwa akiwa na wenzake sita usiku wa kuamkia Jumatano, sambamba na baadhi ya vifaa.Baadhi ya wasanii ambao wamewasili hivi sasa ni pamoja na Chege, Stamina na Niki wa Pili