Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, John Mngodo akimkabidhi Frank Mollel kutoka Taasisi ya Aise Twende mfano wa hundi ya Sh7milioni wakati wa kukabidhi zawadi kwa wabunifu wa nyenzo za kutatua changamoto kwenye jamii wakati wa hafla ilifayonyika Dar es Salaam juzi. Wa pili kutoka kushoto ni Naibu Balozi wa Finland Tanzania, Simo-Pekka Parviainen na Mkurungenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia, Dk Hassan Msinda. Picha na Salim Shao