Mkuu wa Idara ya Uenezi wa CHADEMA, Hemed Ali akizungumza na wandishi wa habari kuhusu kauli za msemaji wa chama cha mapinduzi Ole Sendeka kwa viongozi wa upinzani. Kushoto ni Mshauri wa masuala ya Kisera wa Chama Taifa,Ben Saanane. Picha na Said Khamis